Articles

Affichage des articles du juillet, 2022

NYAKATI AMBAZO MUNGU ALIWEKA CHINI YA JUA

Image
USOMI  : Muhubiri 3:1-8; 9:11-12 Kwa kumutumikiya Mungu vizuri, ni lazima sana kuzifahamu nyakati hizi ( tatu ) ambazo Mungu alizitenga na kuziweka chini ya juwa; sababu ni lazima zijitokeze kwa kila mtu au mkristo wa kweli kuzishi. Nyakati hizo nazo ni hizi zifuatazo:   1) WAKATI WA SHIDA AU MATATIZO (KIPINDI CHA KUSHUKA):   Wakati huu mambo fulanifulani yanajitokeza nayo ni: Magonjwa; kusingiziwa mambo usiyo ya juwa, kukosa kibali na samani mbele za watu, kufukuzwa nyumbani kwa wapangayi, mavalio zaifu au yenye kuchakaa, kukula kwa shida, kuomba msaada kwa ndugu na rafiki bila mafanikio, kukosa kazi, biashara kuhomba, kuibiwa, kuonelewa, kuchekelewa, ... ( Mfano hai: ( Ayubu kwa sura ya kwanza mpaka sura ya 37; Nabii Eliya nyakati za Yezebeli, Yesu Kristo musalabani, na kila mtumishi wa kweli lazima ahonje hicho kipindi .) N.B.1: Wakati huu: Ni lazima mkristo ajuwe kuvumilia mateso, kuacha mihali na lawama na kubaki mwaminifu mbele za Mungu bila kupunguza ne...

KWA NINI MTU MWENYE THAMBI ANAPO AMINI YESU KRISTO, KIPATO CHAKE NI KAMA KINA ZOROTA?

Image
USOMI  : AYUBU 21:7-12; MALAKI 3:13-15; WAKOLOSAYI 1:12-17 I. KIINGILIO:    Nilikaa na hili swali myaka ya kutosha bila majibu; mpaka nilipo sikiya wapendwa wengine wakijiswali kama mimi, tena ni watu ambao wana nguvu za Mungu ila nao wana swali kama hili kuhusu maisha yao kisha kumwamini na kumupokeya Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao; bila jibu halisi.  Hapo nikaamuwa kwenda na hilo swali kwenye baraza la Mungu, kama vile Anavyo sema katika kitabu cha ( Yeremia 23:22 ). Halafu, sijajuwa nawe pia unajiuliza nini kuhusu maisha yako unapo linganisha maishi ya hapo kale, bado ungali thambini na maisha ya sasa kisha kuokoka toka thambini; kwenye ufalme wa giza na kuingizwa kwenye ufalme wa nuru; zaidi sana maendeleo ya kimwili (mafanikio yako au uchumi)! Lengo la somo hili, ni la kuimarisha yaani kuhimiza wapendwa katika Bwana, kuwatiya moyo na kuwapongeza ; ili wasichoke kuomba na kutafuta kila siku uso wa Bwana ; sababu Yesu Kristo anasema kuhu...